Meneja wa timu ya Manchester United, David Moyes (wa pili kulia) akiwapungia mashabiki wa timu yake kuwashukuru baada mchezo wao na Liverpool, uliomalizika hivi punde ambapo timu yake imeibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na Chicharito.
Beki wa Manchester United, Jonny Evans, (chini) akimdhibiti mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez, wakati wa mchezo huo.
Mshambuliaji wa Liver Pool, Luis Suarez (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Manchester United, Phil Jones (kulia) wakati wa mchezo huo. (kushoto) ni Jonny Evans.
No comments:
Post a Comment