Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira wa TANROADS,Zafarani A Madai akimwonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt Emmanuel Nchimbi,jinsi madereva wanavyopaswa kutumia barabara ili kuepusha ajali kwa kutumia michoro mbalimbali .
Baadhi ya wananchi na waandishi wa habari wakiangalia ramani ya barabara...
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt Emmanuel Nchimbi,akipata maelezo kwenye banda la Wakala wa Barabara (TANROADS) kutoka kwa Mkuu wa Kitendo cha Usalama na Mazingira, Zafarani A Madai, wakati Dkt Nchimbi alipokuwa akikagua mabanda mbalimbali kabla ya kuzindua maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani yanayofanyika Jijini Mwanza Kitaifa.
Picha na Aisha Malima.
No comments:
Post a Comment