Habari za Punde

*RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MKUU MOSES KULOLA JIJINI MWANZA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dr.Moses Kulola wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza jana mchana.
Wakiweka udongo kwenye kaburi hilo. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.