Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi, Prof.Lyatuu Mrema (katikati) akizungumza na waadhishi wa habari leo jijini Da es Salaam kuhusu siku ya maadhimisho ya Wahandisi nchini itakayofanyika Sept 5 na 6 ,ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi Prof.Lyatuu Mrema (kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wahandisi nchini iatakayofanyika Sept.,5 na 6 ,2003jijini Dar es Salaam ambapo itawashirikisha karibu wahandisi 1000, Katika siku hiyo pia kutakuwepo na mabanda 50 ya maonyesho ya kihandisi, utoaji wa tuzo pamoja na kula kiapo cha Wahandisi Wataalamu (kulia) Ni Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi Steven Mlote.
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi nchini Mhandisi Steven Mlote( aliesimama mbele mwenye koti jeusi) akitoa maelezo mbele ya waandishi kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wakandarasi , Sept,5 na 6, 2013 jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment