Habari za Punde

*UTIAJI SAINI BODI YA UTALII NA TAASISI YA AFRICAN FUTURE FORUM YA NCHINI KOREA KUSINI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya  African Future Forum (AFF) Heunsu Kim (wa pili kushoto) wakitia  saini makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Wanaoshuhudia zoezi hilo ni wafanyakazi kutoka ofisi ya TTB na AFF, wakwanza kulia waliokaa ni George Kizeba ambaye ni Mkurugenzi wa AFF upande wa Tanzania  na wa nne ni Chris Chae ambaye ni Katibu Mkuu wa AFF Afrika.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akibadilishana na Heunsu Kim ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya African Future Forum (AFF) nakala za makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul.  Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.

 Wafanyakazi kutoka Taasisi ya African Future Forum (AFF) wakisubiri kuanza kwa zoezi la utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia zoezi la utiaji saini wa makubaliano kati ya Taasisi ya African Future Forum (AFF) na  Bodi ya Utalii nchini (TTB) ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul.  Picha na Anna Nkinda - Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.