KATIBU Mkuu mstaafu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Martine Shigela (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda, faili wakati wa makabidhiano ya Ofisi, waliyofanya leo, Makao Makuu ya UVCCM, mjini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni, Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Bara), Mfaume Ally Kizigo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Seki Kasuga. Picha na Bashir Nkoromo.
KAMPUNI YA RADDY ENERGY YA TANZANIA KUNUNUA MITAMBO YA UZALISHAJI UMEME
KUTOKA KAMPUNI YA SIEMENS YA USWIDI
-
*Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka
kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy
Energ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment