Habari za Punde

*RAIS KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA MAZIWA MAKUU UGANDA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan ya Kusini Salva Kiir wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za maziwa makuu uliofanyika jijini Kampala Uganda jana. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.