Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo, akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi za Nimr, jijini Dar es salaam, jana. Picha Zote na Miraji Msala wa Sufianimafoto.
Baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria kikao hicho wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, wakati wa ufunguzi.

Wafanyakazi hao wakionyesha ishara ya mshikamano kwa kuimba wimbo maalum wa mshikamano wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.

No comments:
Post a Comment