Aliyewahi kuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo, Marehemu Mwantumu, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Mwananyamala alikokuwa amelazwa kufuatia kusumbuliwa na maradhi. Pichani ni Mwantum enzi za uhai wake akiwa katika moja ya shoo za Extra Bongo.
Mwantumu enzi za uhai wake
Marehemu Mwantumu
Kwaheri Mwantumu
Mwantumu wa kwanza (kushoto) akiwa katika pozi na wacheza shoo wenzake
Marehemu, Mwantumu(wa kwanza kulia) aktika moja ya shoo za Extra Bongo na wenzake
Dah mwantumu ndio kwaheri tena.......
Mwantumu (kulia) akicheza na wacheza shoo wenzake.




No comments:
Post a Comment