Kiungo mkabaji wa Taifa Stars, Athuman Idd 'Chuji', akimdhibiti mshambuliaji wa Future Young Taifa Stars, wakati wa mchezo wa kujipima nguvu uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Vijana wa Future Young Taifa Stars, walishinda bao 1-0.
Simon Msuva, akitoka nje baada ya kuumia wakati wa mchezo huo....
Simon Msuva (kulia) akiwania mpira na Erasto Nyoni wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment