Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AWASILI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu maalumu cha Wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Colombo nchini Srilanka kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Madola Commonwealth unaofanyika nchini Srilanka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Defue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM). PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.