Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, asubuhi hii amemaliza ziara yake katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na kuanza safari ya kwenda Kyela ambako ataanza ziara katika mkoa wa Mbeya. Pichani, Kinana na wajumbe wea sekretarieri ya CCM, Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi) na Dk. Asha-Rose Migiro (Siasa na Uhusiano wa KIImataifa), wakiwapungua mikono wananchi wa Nyasa, baada ya kupanda Mv Songea, kuanza safari ya kwenda Kyenla. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ernest Kahindi.
NAIBU WAZIRI MAKONDA AWASILI MOROCCO KUIPA MORALI TAIFA STARS
-
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda
amewasili nchini Morocco kwa lengo la kuipa nguvu na kuongeza morali kwa
Timu ya ...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment