Habari za Punde

*WANAFUNZI CHUO CHA USTAWI WAJIFUA KUJIANDAA NA MICHUANO YA VYUO VIKUU

 Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, akiwa katika mazoezi ya mpira wa Wavu katika Uwanja wa Chuo cha Ustawi Kijitonyamaleo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Vyuo Vikuu, yanayotarajia kufanyika Jijini Tanga kuanzia Desemba 8, mwaka huu. 
 Mazoezi yakiendelea...
 Jamaa akiwa chini baada ya kuupiga mpira kwa guu.....
Jamaa (kushoto) akiruka kupiga mpira, huku mpinzani wake akiruka kujaribu kuzuia mpira huo bila mafanikio.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.