Baadhi ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya
70 kutoka Serikali za Mitaa wakiaangalia mchoro wa ramani ya Tanzania ili
kuelewa maeneo mbalimbali leo katika Makumbusho ya Taifa jijini Dares Salaam.
Naibu Gavana wa Jimbo la
Shandong , Xia Geng akiangalia
picha ya mbalimbali za baba wa taifa
hayati Mwalimu Julius K. Nyerere katika
Makumbusho ya Taifa ikiwemo ya kuwekwa
wakfu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania
mwaka 1962 leo jijini Dares Salaam.
Baadhi ya ujumbe wa
ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa China wakiaangalia moja ya behewa la Reli ya Tanzania na Zambia leo
mara baada ya kuetembelea ofisi ya makao makuu ya reli hiyo jijini Dares
Salaam.
Baadhi ya ujumbe wa
watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa China
wakiaangalia picha za viongozi mbalimbali wa nchi hizo kwenye makao makuu ya ofisi ya Reli ya Tanzania na Zambia jijini Dares
Salaam. Picha na Magreth Kinabo - Maelezo



.jpg)
No comments:
Post a Comment