Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Save The Children Bw. Mubarak Maman,(katikati) alipofika kumuaga Rais leo baada ya kumaliza muda wake wa kazi.pia na Bibi Mali Nilsson,(kushoto)ambaye alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar, kushika nafasi ya kuwa mwakilishi mpya wa Shirika hilo la Save The Children. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
TWENDE TUKAENDELEE KUTEKELEZA MAGEUZI YA ELIMU: PROF. MKENDA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda ametoa Wito
kwa Umoja wa Wakuu wa Shule za msingi za ...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment