Habari za Punde

*RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam tarehe 4.11.2013.  Rais Kikwete baadaye anaonekana akifanya mazungumzo na Balozi huyo. PICHA NA JOHN LUKUWI
Wakiwa katika mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.