Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013
Marais wakihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo.
Meza kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.




No comments:
Post a Comment