Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013. PICHA NA IKULU
MNADA WA MADINI YA VITO WAONGEZA UWAZI NA KUDHIBITI UTOROSHAJI NCHINI
-
Arusha, Novemba 27, 2025
Sekta ya madini inaendelea kunufaika na mageuzi ya kidijitali, baada ya
mfumo wa mnada wa madini ya vito kupitia Soko la Bidhaa Ta...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment