Habari za Punde

*RIS JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI LEO AKITOKEA POLAND

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik(kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaaam. leo jioni.Rais Kikwete amerejea nchini akitokea Warsaw Poland ambapo alihudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Duniani na awali wiki iliyopita alikuwa nchini Srilanka kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.