Habari za Punde

*UWANJA WA CHAMAZI AZAM FC WANAONGOZA 3-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING, UWANJA WA SOKOINE MBEYA CITY INAONGOZA 1-0 DHIDI YA ASHANTI.

KUTOKA UWANJA WA CHAMAZI JIJINI DAR ES SALAAM, AZAM FC INAONGOZA MABAO 3-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING BAO LA TATU LIMEFUNGWA NA HAMIS MCHA KATIKA DAKIKA YA 70, NA KUTOKA HUKO MKOANI TABORA KWENYE UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI, MBEYA CITY INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA ASHANTI. BADO NI KIPINDI CHA KWANZA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.