Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA NA UFARANSA

 Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika. 
Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za kiafrika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa,Rais Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za kiafrika. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.