Baadhi
ya wananchi waliofika mida ya saa 11 za jioni jana wakitaraji kupata usafiri wa treni la Mwakyembe, bila mafanikio. Hii imetokana na kutokea kwa hitilafu kwenye Enjinin ya
Treni hiyo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukata tamaa kwa kusubiri usafiri huo jana kwa muda mrefu.


No comments:
Post a Comment