Habari za Punde

*JANUARI MAKAMBA AKITOKA KUHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI YA CCM MJINI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.

 Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza kuhojiwa kwa  zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili. Picha na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.