Habari za Punde

*MWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA

  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichoanza jioni hii kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Kamati Kuu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, Feb 15, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM. 
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Balozi Ali Mchumo (kushoto) Bernad Membe (kulia) na Adam Malima, wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
 Sehemu ya wajumbe wa Kikao hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.