Habari za Punde

*UONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 eneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Calvin Nkya akieezea jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta, wakati ujumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ulipotembelea kiwanda hicho. Viongozi hao wa TPSF kutoka kushoto ni, aliyekaa ni Ofisa Mawasiliano, Rehema Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji Godfrey Simbeye, Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama, Louis Accaro na Mkurugenzi wa Sera, Edward Furaha.
 Nkya akiwaonesha viongozi hao wa TPSF, mtambo wa kutengenezea maji yaliyotumika kuwa safi kwa ajili ya matumizi mengine.
                                   Simbeye akioneshwa na Nkya matanki mbalimbali.
 Mpishi wa Bia wa TBL, Fadhili Sinkala akiwaonesha viongozi wa TPSF jinsi bia inavyopikwakwa kutumia kompyuta.
                          Nkya akiwaonesha moja ya malighafi zinazotumika kutengenezea bia
                                              Malighafi zinazotunmika kutengenea bia
                      Simbeye akipiga picha vinywaji kwenye stoo ya maabara ya kiwanda hicho
 Ujumbe wa TPSF ukitembezwa ndani ya kiwanda hicho sehemu ya matanki ya kuhifadhia bia
                              Wakiangalia baadhi ya mitambo kiwandani hapo
                                   Wakitembelea eneo la ujazaji bia kwenye chupa
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Orio (kulia) akielezea historia kiwanda na utendaji w TBL
                                   Simbeye akiuliza swali kwa Orio kuhusu utendaji wa TBL
Viongozi wa TPSF na TBL wakiwa katika picha ya pamoja. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.