Habari za Punde

*WANAOANZA KUKIMBIZA KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA BEIRA MSUMBIJI

Kikosi cha Azam Fc kipo tayari kuwavaa wamakonde jioni ya leo katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo utakaoanza majira ya saa9 alasiri sawa na saa 10 jioni saa za afrika mashariki.
.
KIKOSI:- Mwadini Ally, Erasto Nyoni, David Mwantika, Agrey Morris, Said Morad, Michael Bolou, Himid Mao, Salum Abubakar, Brian Omony, Kipre Tchetche na Hamis Mcha.

RIZEVU:- Nahodha John Bocco, Jabir Aziz, Malika Ndeule,  Ismael Kone, Aishi Salum na Ibrahim Mwaipopo.

Iwapo Azam Fc itafanikiwa kuitoa Ferroviario, itakutana na Zesco ya nchini Zambia, ikianzia nyumbani kati ya machi 1 na 2 nwaka huu. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.