Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia
ukumbini humo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipongezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada ya
kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17,
2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi (wa pili kulia) ni
Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa nchi za Tanzania, Kenya Uganda na
Seychells, Gilad Millo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa
mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa
mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiondoka ukumbini baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na
Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Phillip Mangula, ambaye pia alikuwa ni
miongoni mwa washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kufungua mkutano huo leo
kweny Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya, wakati
alipotembelea banda la Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati
ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam,
leo Machi 17, 2014. Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na Habari, Linda
Byaba.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kuzindua Kampeni ya 'Farming is cool' ya kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17, 2014. Kushoto ni Mtaalamu
wa Kilimo, Maximillian Sarakikya (kulia) ni Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na
Habari, Linda Byaba.

No comments:
Post a Comment