Habari za Punde

*MTANDAO WA UMEME NCHINI HADI MACHI 2014

 Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wanapata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.  Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% waliounganishwa.  Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa.
Waziri wa Nishati na Madini 
Sospeter Muhongo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.