Habari za Punde

*RIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa ameungana na wananchi wa Kijiji cha Kwamduma,Kata ya Kibindu kwenye Msiba wa Mtoto wa Mzee Juma Mkonje (hayupo pichani) uliotokea jana Machi 16,2014.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.