Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI KWEMHOSI MUHEZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye uhaba mkubwa wa maji. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.