Habari za Punde

*TUMETOKA MBALI, HAWA NDIYO KINA NGASSA NA SAMATTA WA KESHO

Ama kwa hakika hawa ndiyo hasa wanaweza kuja kuwa tegemeo la Taifa letu katika soka siku za mbeleni, lakini kutokana na hali halisi ya Shule zetu zilizo nyingi haziweki kipaumbele suala zima la michezo, ikiwa ni pamoja na Vipindi vya michezo mashuleni kama ilivyokuwa siku za nyuma, suala la viwanja vya michezo kama ilivyokuwa siku za nyuma na hata kuwawekea mkazo watoto wanaoonyesha kuwa na kipaji cha mchezo flani. 
Kwa kutoanza na huku chini, Tanzania itakuja kuwa na mafanikio ya kweli katika Soka kweli??? Mmmmh kama vipi itabaki stori...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.