Habari za Punde

*WAZIRI MAJI MH JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA

 Waziri wa maji Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka nnchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililo tengenezwa kwa teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi wala kupata kutu kulia ni mkurugenzi msaidizi wa kutoka Prima Business ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana maonyeshohayo yanafanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma. 
Ofisa Habari wa Dawasa Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa Maji Jumanne Maghembe kuhusu shughuli zinazo fanywa na Dawasa mjini  . Picha na chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.