Habari za Punde

*YANGA WANAPATA BAO LA 4 KWA MKWAJU WA PENATI, KUTOKA TANGA AZAM FC ANAONGOZA BAO 1-0

Dakika 78, Yanga inapata penati, Nadir Haroub Canavaro, anaifungia Yanga bao la 4. Kutoka jijini Tanga Azam fc anaongoza bao 1-0, dhidi ya Mgambo Shooting.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.