Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mji mkuu wa Equatorial Guinea wa Malabo jana jini 24, 2014 kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Africa – African Union (AU).
Akiwa Malabo, Mheshimiwa Rais Kikwete pia atakuwa Mwenyekiti wa kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa AU kitakachojadili mazingira. Rais Kikwete na ujumbe wake anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa wiki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Malabo, Equatorial Guinea, jana jioni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Malabo, Equatorial Guinea, jana jioni.

.jpg)

No comments:
Post a Comment