Habari za Punde

*ISSA MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA MFUKO WA PPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba. 
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimkabidhi taarifa ya michango mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya  38 ya Sabasaba. Pembeni wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF.
 Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengele (Kulia) akimkabidhi zawadi Mmiliki wa Mtandao wa Michuzi, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika Viwanja vya maonyesho ya 38 ya biashara yanayoendelea kufanyika Jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.