Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE AMPOKEA MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wageni waliofuatana na Malkia Nomsa Matsebula mara baada ya mgeni huyo kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
 Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili  kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland wakati wakielekea kupanda magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
 PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.