Habari za Punde

*MECHI YA KUJIPIMA NGUVU TAIFA STARS YACHAPWA MABAO 4-2

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' jana imekubali kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa wenyeji wao Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliopigwa kwenye Uwanja wa Gaborone kabla ya kukutana na Msumbiji, jijini Dar es Salaam. 

Mabao ya Stars yalifungwa na Khamis Mcha 'Vialli' na John Bocco 'Adebayor' kwa mkwaji wa penati.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.