Neymar akionekana kuwa na maumivu makali akiwa amebebwa kutolewa uwanjani baada ya kuumia wakati wa mchezo wa Robo Fainali kati ya timu yake na Colombia uliochezwa jana usiku, Brazil ilishinda mabao 2-1 na kusonga mbele katika michuani hiyo ambapo sasa Brazil itakutana na Ujerumani ambao nao walishinda katika mchezo wao wa jana kwa kuwafunga Ufaransa kwa bao 1-0. Neymar baada ya kuumia mgongo alikimbizwa hospitali kwa matibabu na inawezekana akakosa mchezo ujao kati yao na Ujerumani.
NSIMBO WACHANGAMKIA MAJIKO YA RUZUKU
-
-Washukuru kufikishiwa majiko banifu kwa bei ya ruzuku
Wananchi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kapalala katika Halmashauri ya
Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment