Habari za Punde

*WAZIRI MEMBE AMTEMBELEA KADINALI PENGO NYUMBANI KWAKE KURASINI DAR LEO

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe, akizungumza na Polycarp Cardinal Pengo, wakati alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es Salaam leo. 
Membe akiagana na Pengo, baada ya mazungumzo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.