Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiongea na wanahabari (hawapo
pichani) kutoa maelezo ya majumisho ya ziara yake ya siku tano ya kuzitembelea
Taasisi zinazotoa Huduma ya Msaada wa Kishria Mkoani Dar es Salaam.
Mkurugenzi
mkuu wa kituo cha haki za binadamu
Hellen Kijo Bi. Simba(LHRC) (kulia) akimshukuru Naibu Waziri wa Wizara
ya Katiba na Sheria baada ya kutembelea Taasisi zinazoshughulikia msaada wa
kisheria jijini Dar es Salaam. Picha na Rose Masaka-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment