Habari za Punde

*YANGA WAENDELEA KUJIFUA UFUKWENI

Wachezaji wa timu ya Yanga, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye ufukwe wa coco beach eneo la gymkhana  chini ya mwalimu wao Marcio Maximo jioni hii. Kwa matukio mengine ya picha za mazoezi hayo zitawajia baadaye. Kaa nasi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.