Habari za Punde

*SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI, ANNE MAKINDA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA UHOLANZI NA UJUMBE WAKE JIJINI DAR

  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na  Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya jingo la Bunge la Tanzania  Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg mara baada ya kufanya nae mazungumzo ofisini kwake leo. Spika Miltenburg yupo nchini na Ujumbe wa Wabunge wanane kutoka Bunge la Uholanzi kwa ziara ya kikazi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van  Miltenburg na ujumbe wake mara baada ya kukutana nao leo. Picha na Owen Mwandumbya

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.