DAKIKA YA 90 OSCAR ANAIPATIA BRAZIL BAO LA KUFUTIA MACHOZI. BRAZIL 1- UJERUMAN 7 NA MPIRA UMEKWISHA.
Kwa matokeo hayo sasa Ujerumani imejikatia tiketi ya kutinga Fainali hizo za Kombe la dunia ambapo inasubiri mshindi wa mchezo wa leo baadaye kati ya Uholanzi na Argentina.
Na Brazil sasa itacheza na timu itakayofungwa katika mchezo wa leo kwa ajili ya kutafuta mshindi wa tatu.

No comments:
Post a Comment