Habari za Punde

*TAARIFA YA MSIBA WA MTOTO WA MICHAEL MACHELLAH

Pichani ni mtoto wa mpiganaji Michael Machellah, Everlyne Michael Machellah (1) aliyefariki jana katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. 
Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.Mazishi yanatarajia kuyafanya kesho muda na wapi mtajulishwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.