Habari za Punde

*TAIFA STARS YASHINDWA KUMTAFUNA MAMBAZ NYUMBANI YALAZIMISHWA SARE YA MABAO 2-2 UWANJA WA TAIFA

 Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta (wapili kushoto) akiwachachafya mabeki wa Msumbiji wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya Fainali za Afrika zinazotarajia kufanyika nchini Morocco mwakani. Katika mchezo huo timuhizo zilitoka sare ya bao 2-2, huku mabao yote ya Stars yakifungwa na Hamis Mcha, aliyeingia kuchukua nafasi ya Mrisho Ngassa, kipindi cha pili. 
Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior.
 Thomas Ulimwengu  akichuana na beki wa Msumbiji, Josemar Machaisse.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu 'Rambo', akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior.
 Mshambuliaji wa Stars, Khamis Mcha akiwa katika harakati za kufunga goli.
 Golikipa wa Stars, Deogratius Munishi, akishangilia balo la pili la 
Taifa Stars kwa kuonyesha fulana yake iliyokuwa ikisomeka 'Sisi ni Watoto wa Rais Kikwete'.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.