Habari za Punde

*MWILI WA MAREHEMU JAJI MSTAAFU LEWIS MAKAME WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM, LEO

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame likiwa  mbele ya viongozi wa Serikali, ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa kuuaga mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Viongozi mbalimbali wa Serikali wakilisikiza wasifu wa marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa na nyuso za uzuni wakati wa  kuuaga mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wafiwa akilia kwa uchungu wakati akiuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakilisikiza wasifu wa marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na Anna Nkinda- Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.