Habari za Punde

*AJALI MBAYA IMETOKEA MADIRA JIJINI ARUSHA JIONI HII HICE NA ROLI

Ajali mbaya imetokea leo majira ya saa kumi na moja jioni huko maeneo ya Madira Arumeru jijini Arusha, iliyohusisha gari la abiria aina ya Hice na Roli lenye tera. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni hice iliyokuwa ikijaribu kuovatake eneo lisilo salama. Katika ajali hiyo watu kadhaa wamepoteza maisha hususan waliokuwa katika Hice.
Roli hilo lililogongana na Hice 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.