Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGUA HAFLA YA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA RUFIJI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa hafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika ukumbi wa Serena Hoteli jijini Dar es salaam, ambapo jumla ya shilingi milioni 903 zilipatinana na kuweza kuvuka malengo ya awali ya shilingi milioni 500.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambae pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid wakati wa hafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es salaam. milioni 500.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid katikati wakiwa katika picha ya pamoja na wananchi waliochangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.