Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw.
Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la
Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za
Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.
Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akitoa wito kwa wananchi
kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye
Daftari la Wapiga Kura ili waweze kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali
za Mitaa mwaka huu. Pia Katibu Mkuu huyo amewataka Viongozi wote wanaosimamia
uchaguzi huo kuzingatia sheria na kanuni za uchaguzi. Kushoto ni Mratibu wa
Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa na kulia ni Afisa Mwandamizi wa TAMISEMI Bw.
Mohamed Mavura.
No comments:
Post a Comment