Habari za Punde

*JENGO LA MACHINGA COMPLEX LIKIWAKA MOTO


Jengo la biashara la Machinga Complex, likiwaka moto mapema mchana wa leo kama mtandao huu ulivyotangulia kukuhabarisha awali, mpaka sasa bado hakijajulikana chanzo cha ajali hiyo ya.moto.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.